Mchezaji wa zamani wa Yanga,Kagera Suger, Moro united, Kahama United , 82 rangers ya Shinyanga pamoja na Timu ya Taifa ya Tanzania kwa nyakati tofauti Karume Songoro Afariki dunia.
Karume amefariki leo jumatatu April 15,2024 nyumbani kwake Malunga Manispaa ya Kahama.
Tutakuletea taarifa zaidi kuhusiana na hili.