KanyeWest ashuhudia mechi akiwa amevaa maski

Rapa kutoka nchini Marekani Kanye West ni miongoni mwa watu maarufu aliyeshuhudia mechi ya Inter Milan vs Atletico Madrid iliyochezwa hivi karibuni.

Kanye alitinga uwanjani akiwa na mkewe Bianca huku akiwa amevaa maski usoni.

Mechi hiyo iliisha kwa Inter Milan kuondoka na ushindi wa goli moja dhidi ya Atletico Madrid.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *