Taarifa kutoka watu wake wa karibu, rapa Kanye West yupo mafichoni muda huu akiandaa albamu yake mpya baada ya miaka miwili kupita kuachia albamu ya Donda.
Inaelezwa rapa huyo kutoka Chicago amerekodi nyimbo 10 mpya kwa wiki moja tu, hivyo albamu hiyo itakuwa ya moto.