Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Kanye West kuachia ‘Vulture’ kwa awamu tatu

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Rapa Kanye West ameachia trela mpya ya albamu yake Vultures, na ameweka wazi kuwa aachia albamu hiyo kwa awamu tatu tofauti kwa mwaka huu.

Kanye amebainisha kuwa awamu ya kwanza itapatikana ifikapo Februari 9,  na ikifuatiwa na ya pili na ya tatu, ambayo itatoka Machi 8 na Aprili 5, huku orodha ya ngoma za ‘Vultures’ zinaonyesha bado zipo nyimbo 18.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *