Kampuni ya Adidas imetangaza kuachia viatu vya Bob Marley

Kampuni ya Adidas imetengaza kuzindua toleo maalum la viatu la nguli wa muziki wa Reggae Duniani, Marehemu Bob Marley ifikapo majira ya joto mwaka huu.

Viatu hivyo vya retro SL 72 vitatolewa kwa ushirikiano wa Adidas na Bob Marley’s estate, vitakuwa na picha pamoja na saini ya Bob Marley.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *