Jambo La Leo

Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Kahama United FC yachinja Ng’ombe kusherehekea ubingwa

Klabu ya soka ya Kahama United FC Kahama United FC siku ya leo imechinja ng’ombe mkubwa kusherehekea ubingwa wa ligi ya taifa, wilaya ya Kahama iliyodhaminiwa na Wakili Sweetbert Nkuba Sr, baada ya kuifunga KMC katika mchezo wa fainali.

Sherehe hizo zilizoanza mapema asubuhi kwa watu mbalimbali kunywa supu, kilele chake kitafanyika kwenye Bwalo la Magereza Kahama, ikiambatana na shughuli kadhaa.

Kama Utoaji wa zawadi (Fedha) kwa wachezaji wa Kahama United ambao wataambatana na wazazi wao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *