Kagere atimkia Namungo FC

Klabu ya soka ya Namungo FC imetambulisha Striker yake mpya ambaye ni Meddie Kagere. Kabla ya kujiunga na Namungo alikuwa akikipiga Singida FG tangu 2022.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *