◉ Ameiongoza katika michezo 490
◉ Alipata ushindi katika mechi 298
◉ Sare Mechi 109
◉ Vipigo mara 83
◉Alitwaa Kombe la EFL mara 2
◉ Ligi ya Mabingwa Ulaya amebeba Kombe mara moja
◉ Ligi Kuu ya Uingereza amebeba kombe mara moja
◉ Kombe Dunia kwa ngazi ya Klabu alibeba Kombe moja
◉ Super CupKombe moja
◉ Kombe la FA mara 1
Amesaliwa na Mchezo mmoja tu ambao unapigwa leo Mei 19,2024 kabla ya Kusepa zake.