Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

JS Kabylie imetangaza kusitisha mkataba wake na Simon Msuva

Klabu ya soka ya JS Kabylie ya nchini Algeria, imetangaza kusitisha mikataba ya wachezaji wake wawili, Simon Msuva wa Tanzania na Hichem Moktar wa Algeria.

Uamuzi huo umetangazwa usiku wa jana, kutokana na viwango duni vya wachezaji hao waliojiunga na klabu hiyo katikati mwa mwaka huu.

Simon Msuva alijiunga na JS Kabylie mwezi Agosti kama mchezaji huru akitokea Al Qadsiah FC ya Saudi Arabia pia Hichem Moktar alijiunga na timu hiyo kama mchezaji huru mwezi Julai akitokea Al Najma Club ya Saudi Arabia.

Je, Msuva Arejee Tanzania?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *