Klabu ya AS Roma imeweka wazi kumalizana na Kocha Jose Mourinho.
Hata hivyo inaelezwa kuwa Kocho huyo raia wa Ureno ataendelea kusalia nchini Italia na kwasasa yupo kwenye mazungumzo na rais wa Napoli, Aurelio de Laurentiis kuhusu kuchukua mikoba ya mabingwa hao wa Serie A