Hitmaker wa Johnny’, Yemi Alade amefunguka kuwa audio ya ngoma hiyo ambayo ilitoka 2015 haikupangwa kutoka kwa wakati huo bali ilivuja mtandaoni.
Yemi amefunguka hayo hivi karibuni katika mahojiano aliyofanya na Mtangazaji wa TV Temisan.
Hivi karibuni Yemi ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kutumbuiza kwenye Michuono ya AFCON yanayofanyika nchini Ivory Coast.