JOHN HECHE AKAMATWA NA JESHI LA POLISI DAR ES SALAAM

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amekamatwa na Jeshi la Polisi.

Heche amekamatwa hii leo Aprili 22, 2025 wakati alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara Kariakoo jirani na soko jipya la vyakula jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *