Timu ya JKT Queens imechaguliwa kuwania kipengele cha klabu bora ya mwaka kwa wanawake kwenye Tuzo za CAF pia Ester Chabruma amechaguliwa kuwania kipengele cha kocha bora kwenye Tuzo za CAF.


Winfrida Gerald amechaguliwa kushindania tuzo ya mchezaji bora chipukizi kwenye Tuzo za CAF.

Pia Najiat Abass amechaguliwa kushindania tuzo ya kipa bora kwenye Tuzo za CAF.

Ville vile Timu ya Taifa ya Wanawake imechaguliwa kuwania tuzo ya timu bora ya mwaka kwenye Tuzo za CAF.
