Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Jim Arrington kikongwe anayenyanyua vitu vizito

Jim Arrington anashikilia taji la Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kuwa mtunisha misuli mkubwa zaidi kiumri kwani ana miaka 90 na anauwezo wa kuinua vitu vizito.

Jim Arrington, ametokea mjini Los Angeles,na ni babu wa watoto tisa, na ndani ya mwezi huu anatarajiwa kutimiza umri wa miaka 91.

Akiwa mdogo Jim alipewa jina la utani la “Skinny Bones”, na inaripotiwa kuwa alikuwa mgonjwa wa pumu na alikuwa akipata maradhi ya mara kwa mara.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *