Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Jiko la mkaa laua wawili Iringa

Watoto wawili Evance Kapinga (3) na Tabia Ngombele (17) wakazi wa mtaa wa Frelimo mkoani Iringa wamefariki dunia huku Moline Mligo (7) akinusurika baada ya kuacha jiko la mkaa likiwa linawaka ndani majira ya usiku.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo usiku wa kuamkia leo Januari 22, 2024 Mwenyekiti wa Mtaa wa Frelimo Jalala Mwinyimbegu amesema watoto hao waliachwa peke yao baada ya mzazi waliyekuwa wanaishi naye kusafiri na aliporejea usiku na kugonga mlango bila mafanikio ndipo alipoita majirani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *