Jeshi la Guinea lavunja serikali latangaza kuunda serikali mpya

Uongozi wa Kijeshi Nchini Guinea umeivunja serikali iliyokuwepo na imesema inatarajia kuunda upya serikali mpya.

Taifa hilo lilipo Afrika ya Magharibi limekuwa chini ya utawala wa Kijeshi tangu mapinduzi yake yaliyotokea Septemba 2021 kwa kumpindua aliyekua Rais wa Nchi hio Alpha Condé, huku ikishinikizwa na ECOWAS kufanya uchaguzi na kurejesha utawala wa kiraia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *