Miongoni mwa wanasheria wa Tory Lanez, Ceasar McDowell anaweka wazi kuwa mteja wake amekuwa akipatiwa huduma nzuri kwenye jela ambayo amefungwa kwa sababu ya hadhi yake, ikiwemo kupewa walinzi mara kwa mara na kusindikizwa kwa ajili ya chakula.
Hata hivyo Tory, hataki uangalizi huo maalum anataka kuwa kama watu mwingine. Anasema Ceasar kupitia TMZ.
Msanii huyo amehukumiwa kifungo cha miaka 10, jela kwa kosa la kumpiga risasi EX-wake Megan Thee Stallion.