Wiki hii sta wa muziki Diamond Platnumz ameshare picha mpya akiwa amevalia tishet nyekundu na jeans nyeusi na raba flani za Adexsfr.
Kwa mujibu wa mitandao inayouza vitu mtandaoni bei ya raba”ADEXSFR sneakers” ni kiasi cha $65.00ambayo ni sawa na Tsh/=162,825.00. Na bei ya Jeans aliyovaa ni “Gothic cord black fit” inauzwa dola 13,173.10 sawa na Tsh/= 32,998,615.50