Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Jamhuri Kiwelu kocha mpya Singida FG

Uongozi wa timu ya Soka Singida FG imemtambulisha rasmi kocha Jamhuri Kiwelu kama kocha Mkuu wa Timu hiyo.

Wiki moja iliyopita bodi na Menejimenti ya Singinda FG ilivunja benchi lote la ufundi la timu hiyo kufuatia matokea mabaya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *