Mchana huu Meneja Mkuu wa Jambo Media, Nickson George amezindua rasmi kampeni ya Mimi ni Wewe, yenye lengo ya kusambaza upendo kwa watu wote.

Na kampeni hii imegusa Nyanja tatu ambayo ni Kuchangia damu, kusaidia Watoto na wazee.
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz