Rapa Iizzo izness ameweka wazi kuwa mpenzi wake anayeishi naye kwa sasa nchini Marekani anatarajia kupata mtoto. Hivyo wawili hao watarajia kuitwa baba na mama hivi karibuni.
Izzo amebainisha hayo yote kupitia Instagram yake.
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 677 644 444
info@jambofm.co.tz