Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Ishi kwa akili.. Loui anatusanua

Mwanetu Loui anatupa vitu vitano anavyotakiwa kuwa navyo staa wa hapa Bongo iliaweze kuishi kwenye Maisha Fresh Milele.

1.Bima ya Afya
2.Saving Account (Akaunti ya akiba)
3. Biashara ya pembeni.
4.Kundi dogo la watu
5.Mshauri wa masuala ya fedha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *