Katika toleo jipya la jarida la The New Wave la i-D Magazine, staa wa muziki Rema ambaye amekiwasha hivi karibuni kwenye Ballon D’or amesema hata akiacha muziki leo, basi jina lake litaishi na atakuwa kwenye ‘ Afrobeats Hall of Fame’, ama ikitokea kuna Biblia ya Afrobeats, angekuwa kwenye ukurasa wa mbele wa “Agano Jipya.”
Vipi unakubaliana na usemi huu wa Rema?
