Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Ijue rangi ya mwezi Novemba

Tupo mwezi wa No-vimba ama unaweza sema Novemba. Ni mwezi unaokaribiana na mwisho wa mwaka lakini mwezi huu pia una rangi yake.

Rangi ya mwezi huu inatambulika kama Candy Orange, hii ni kwa mujibu wa Color Market Group ambapo wanataja rangi hii ni kutoka barani Asia na ni rangi inayofananishwa na joto au moto.

Rangi hii inafaa sana kwa vyombo, mapambo ya ukutani, nguo na vifaa kadhaa. Ukiitazama sana unaweza hisi ni rangi ya dhahabu na ikiwa kwenye kitu inaongeza mvuto sana.

Vile vile inatajwa kuwa ni ishara ya afya njema na kuwa kwenye mazingira fresh.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *