Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Idadi ya waliofariki Hanang yafika 68

Idadi ya waliofariki katika maporomoko ya udongo kufuatia mvua kubwa iliyonyesha wilayani Hanang mkoani Manyara imefikia watu 68 huku wengine 116 wakiripotiwa kujeruhiwa.

Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ambapo amesema kuwa kikosi cha wataalam wapatao 350 kutoka jeshini kimetumwa katika eneo hilo ili kusaidia zoezi la uokozi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *