Ibraah avunja ukimya

Baada ya ukimya mrefu hatimaye Ibraah na Harmonize wanatarajia kuchia ngoma hivi karibuni na tayari Harmonize ameshare kionjo cha ngoma hiyo kupitia Instastory yake.

Wiki kadhaa Harmonize aliweka wazi sababu ya Ibraah kuwa kimya ambapo alibainisha ni kuwa kukosa mapato ya kazi zake za muziki kwa muda mrefu ila kwa sasa kila kitu kinawekwa sawa na Serikali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *