Muigizaji na mwanamitindo Julia Fox amedai kuwa hakuwahi kufanya mapenzi na rapa Kanye West wakati wa uhusiano wao yalioyodumu wiki sita 2021.
Fox amesema hayo katika mahojiano ya hivi karibuni aliyofanya na The New York Times.

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz