Julai 16 2022 wasanii wa muziki Billnass na Nandy walifunga ndoa na baada ya muda wakabarikiwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kike.

Wakati wanasheherekea kufika mwaka mmoja wa ndoa yao hivi karibuni, basi jua leo Agost 21 pia wanasheherekea binti yao Kenaya au Naya Bill kufikisha mwaka mmoja.
