Huyu ndio Miss Universe Zimbabwe 2023

Septemba 16,2023 mrembo Brooke Bruk-Jackson(22) aliibuka na taji la Miss Universe Zimbabwe 2023.

Ushindi wa mrembo huyo kutoka Harare, umekuwa ukipingwa na kuweza kuibua mijadala mbalimbali. Ikiwemo uhalisa wake wa taifa lake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *