HITILAFU ZA KIUENDESHAJI CHANZO AJALI YA TRENI SGR

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeutaarifu umma kuhusu ajali ya treni ya EMU iliyokua
ikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma majira ya saa 2:00 asubuhi Oktoba 23, 2025 kuwa imetokana na hitilafu za kiuendeshaji.

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TRC hii leo Oktoba 23, 2025 imeeleza kuwa tukio hili limetokea kituo cha Ruvu na kwamba taarifa za awali zinaonesha kuwa hakuna tukio la kifo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *