Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

“Hili bleach nilizimia nalo na kuzinduka nalo”- Ali Kamwe

“Kuelekea mchezo wa Belouzidad huwezi kuacha kutambua mchango mkubwa wa mashabiki ambao walihusika kuanzia maandalizi ya Hamasa ya Pacome Day, Nchi nzima ilimeremeta bleach ikiwa lengo la kumuunga mkono na kuheshimisha mchezo”.

“Hili bleach nilizimia nalo na kuzinduka nalo, na kwa heshima ya Pacome nitakwenda nalo Misri. Hivyo wananchi msiwe na haraka ya kufuta bleach endeleeni kushangilia. Na waarabu wajiandae kama wamejiandaa kumkaba Pacome, watakutana na Pacome wengi sana kwa sababu bado wachezaji wetu wanalo” amesema Ali Kamwe Meneja Habari na Mawasiliano @yangasc

Endelea kutufuatilia kupitia www.jambofm.co.tz

#Jambotanzania #jambofm #kahama #shinyanga #mwanza #simiyu #tanzania255
#muziki #kigoma #Mara #Tabora #Tanzania #yangasc

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *