HIKI NDIO KIKOSI CHA YANGA KINACHOIVAA TP MAZEMBE KWA MKAPA……

Yanga Sports Club imetoa kikosi kitachopambana na TP Mazembe leo kwenye uwanja wa Benjamin MKapa kwenye Ligi ya Klabu Bingwa Afrika, ambao Yanga ni timu ya mwisho kwa kundi A.

Kikosi cha Yanga kina Diara, Kibwana, Boka, Job, Bacca, Aucho, Mzize, Mudathir, Dube, Aziz KI na Pacome, Upande wa subbs kuna Mshery, Kibabage, Mwamnyeto, Duke, SureBoy, Mkude, Shekhan, Farid, Musonda.

Kocha mkuu ni Sead Ramovic..

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *