Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Hiki ndicho alichofanya Harmonize kwa Rayvanny

Staa wa muziki, Harmonize amerudisha shukrani kwa Rayvanny kwa kutoa baraka kwenye kazi yake mpya ya 54U inayojumuisha ngoma zipatazo sita.

Ngoma hizo zimetoka sita, siku ya juzi usiku na kuna ngoma kama’ Wababa’, ‘My Lady’, ‘Mi Amor’, ‘Kitu Kizito’ ambayo amemshirikisha Missi Misondo, kuna ‘Money’ na ‘ Christmass’. 

Utakumbuka pia wakati Harmonize ametoa Albamu yake ya ‘Visit Bongo’, Rayvanny pia alionyesha kuisapoti kwa kupost kwenye Insta Story yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *