Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Hii ndio gharama ya ndege binafsi aliyotumia Diamond

Muongozaji wa video za muziki Nchini Hanscana_ kupitia instastory yake amashare nasi gharama za usafiri wa ndege binafsi aina ya Super Midsize Jet, aliyotumia staa wa muziki Diamond Platnumz kutoka Mjini New York mpaka Detroit kutumbuiza kwenye tamasha la Afronation.us siku ya tarehe 19 ambapo alitumia kiasi cha dola 36.8k sawa na Milioni 72 za Kitanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *