Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Hawa ndio wasanii wakubwa wakali Nigeria

Mtandao wa kuuza na kusikiliza muziki wa Apple Music upande wa Nigeria umetaja orodha ya wasanii wakubwa watano wanaofanya vizuri muda wote kutoka nchini humo.

Katika orodha hiyo wametaja namba moja ni Burna Boy, akifuatiwa  na Wizkid kisha,Davido anakuja, Rema na mwisho kabisa Asake .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *