Inaelezwa Msanii Harmonize na timu yake ya Konde Gang walitaka kuzichapa na walinzi wa Uwanja wa Taifa.
Tukio hilo limefanyika usiku wa jana katika mchezo wa Tanzania dhidi ya Morocco kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026,ila Polisi wakafika na kumaliza mzozo huo.