Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Harmonize atao rasmi ‘I made It’

CEO wa Konde Muisc Harmonize ameachia rasmi ngoma yake ya I made It aliyofanya na staa wa muziki kutoka Marekani Bobby Shmurda  pamoja na Bienaimesol kutoka Kenya.

Video ya ngoma hii inatajwa tarai imeshafanyika huko Mareani ila kinachosubiriwa ni tarehe tu ya kuiachia kazi hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *