Harmonize ana uwezo wa kununua Private Jet moja ila anataka mbili

Staa wa muziki nchini Harmonize kupitia Insta story yake ameweka wazi kuwa na matamanio ya kumiliki ndege binafsi(Private Jet) mbili kwa sasa licha ya kuwa anaweza kunua ndege mbili.

Harmo atakuwa msanii wa pili nchini kumiliki Private Jet endepo kama Diamond akifanikiwa kununua kama alivyobainisha awali, ila CEO wa Konde yeye atakuwa anamiliki mbili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *