HARMONIZE AMUAHIDI NABII GEORDAVIE KUTOCHOMA GARI ENDAPO ATAPEWA

Star wa Muziki wa Bongo Fleva, Rajabu Kahali maarufu kama Harmonize amechapisha andiko katika kurasa yake ya mtandao wa kijamii akisema kamwe hawezi kuchoma gari endapo atapewa na Nabi Gordavie.

Story ya Harmojise inajiri baada hii leo Mwimbajibwa nyimbo za Injili Goodluck Gozbert kutrend mitandaoni baada ya kuchoma moto gari aina ya Mercedes Benz alilozawadiwa na Nabii huyo.

“BABA YANGU NABII MKUU JUMAPILI TUPO HAPO KANISANI !!! MIMI NIANDALIE V8 NIJE KUVIMBA NAYO!! MJINI NAKUAHIDI SITOICHOMA NILIKO TOKA HATA KIATU UKIKIULIZA HAKINA MAJIBU BAISKELI SIWEZI KUICHOMA MUNGU AKUTILIE WEPESI,” aliandika Harmonise.

Katika maelezo yake, Goodluck Gozbert anasema sababu ya kuchoma gari hilo ni ibada ambayo alikula chakula kisha kupewa na gari hilo, kitu ambacho anadai hakikuwa sahihi kwake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *