Harmonize Ajibu Kauli yake Tata Kuhusu Mungu

Kupitia wimbo wake wa Na Nudu,Msanii wa muziki na Mmilikiwa lebo ya Konde Gang Harmonize, amejibu ile kauli aliyoitoa wiki kadhaa zilizopita akimfananisha Mwanamke na Mungu.


Harmonize amejibu ndani ya ngoma hiyo kwa kutaja sababu ya kwa nini mwanamke anatakiwa kupewa heshima na hadhi yake katika jamii.
Audio ya wimbo huo imetoka rasmi leo Arprili 19,2024 na inapatikana kwenye mitandao yote ya kuuza na kusambaza muziki

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *