Hivi unajua kuwa Duniani hakuna kitu kipya kabisa? kuanzia suala la Muziki wasanii wanaiba beat hadi video zake, pia kwenye suala la mitindo pia hivyo hivyo.
Hivi karibuni Hamisa alionekana na kigauni flani matata kutoka ofisi zake. Kinguo hicho alivaa kwenye Birthday Party ya Wema Sepetu.
Kivazi hicho Hamisa kimetajwa kufanana kutoka kwa staa mmoja huko Afrika Mgharibi. Swali ni nani kaiga? Na nani kapendeza?
Ila watu wabaya hadi pozi la picha limeigwa bhanaa!!