HAMDI AWASILI DSM, KUANZA KIBARUA NA KENGOLD

Kocha mpya wa Yanga SC, Miloud Hamdi ambaye amerithi Mikoba ya Sead Ramovic amewasili jijini Dar es Salaam kuanza majukumu yake.

Hamdi ameonekana akiwa na Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe na Kikosi hicho hii leo kitapimana ubavu na KenGold kwenye uwanja wa KMC.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *