Halle Bailey na DDG waanza 2024kwa kupata mtoto

Staa wa filamu kutoka nchini Marekani Halle Bailey na Mpenzi wake DDG ambaye ni staa wa filamu, msanii na msanii wa muziki wameufaungua mwaka 2024 kwa kubarikiwa kupata Mtoto wao wa kwanza ambae ni wakiume.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *