Hakuna mgao wa umeme- Tanesco

Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Maharage Chande amewaomba Wananchi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho kuna Upungufu unaosababisha baadhi ya Maeneo kuwa na Umeme na mengine kukosa Huduma hiyo.

Maharage amesema “Katika Mtandao wa Umeme hitilafu huwa zinatokea mara kwa mara na pale zinapotokea Wateja wetu huwa tunawataarifu. Tunapopata upungufu sio Nchi nzima inakuwa haina Umeme ila ni kwa baadhi ya maeneo na huwa tunatoa taarifa”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *