“Hakuna haja ya kunyoosheana vidole”

“Katika hali hii hakuna haja ya kunyoosheana vidole na kuhamisha majukumu haitatusaidia kwa vyovyote vile. Huu ni wakati mwafaka wa kushikana mikono pamoja kuweka mioyo yetu na vichwa pamoja. Twende tena leo kwa roho moja na tufanye kazi ya kujikomboa.”ameadika Chama kwenye ukurasa wake wa Instagram

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *