Haji Manara hana utani kwa ZaiyLissa

Baada kuzagaa taarifa kuwa gari aina ya Nissan Duals aliyopewa muigizaji ZaiyLissa siku ya Alhamisi ya 18/01/2024 na Mchumba wake Haji Manara ni haijaandikwa jina lake, basi wanamaisha fresh wameshare kadi ya gari hiyo ambayo inaonyesha jina la mrembo huyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *