Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Haitham Kim alazwa ICU

Taarifa zilizotufikia chumba cha habari muda huu ni kuwa msanii wa muziki Haithamkim , amelazwa katika hospitali ya Wilaya ya Temeke kwenye chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) ambapo anakabiliwa na changamoto ya mapafu iliyosabisha ashindwe kupumua.

Hivyo anahitaji msaada wa kumudu gharama za matibabu ambazo ni kuanzia Tsh 700,000.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *