Msanii wa muziki kutoka Guinea, Moussa Sandiana Kaba, maarufu mpenzi kama Grand P, anatengeneza tena vichwa vya habari baada ya mpenzi wake Eudoxia Yao, kufunguka kuwa mwanaume huyo alimuahidi atamua tangu 2019 ila mpaka leo bado.

Katika mahojiano aliyofanya na Adom TV, mrembo huyo anabinisha kuwa walipokutana na Grand P alitoa ahadi ya kumuoa ila bado hajafanya hivyo na amekuwa mtu wa kupenda wanawake.
Eudoxia Yao pia alikanusha madai kuwa anamfanyia makusudi mwanaume huyo kwa kuzurura na wanaume wengine.


