Grammy inavyoipenda Bongo Flava

Hii hapa ndio orodha ya wasanii wanne tu kutoka hapa nyumbani Tanzania ambao mpaka sasa wamekuwa Recognized kwenye Tuzo za Grammy kupitia kazi za wasanii walioshirikiana nao.


Kuna Nandy ambaye 2022 msanii wa muziki Etana alifanikiwa kutajwa kuwania tuzo ya Grammy kama Best Reggae Albamu ambapo albamu iliitwa ‘Pamoja’.



Diamond Platnumz pekee ndiye amepata Grammy Credit Certificate baada ya Alicia Keys kushinda kwenye kipengele cha Immersive Audio Album “ALICIA” 2022



Na sasa Rayvanny pamoja na S2kizzy wamefanikiwa kuwa recognized kwenye tuzo za Grammy 2024 kupitia wimbo waliofanya na Maluma #MamaTetema ambao upo kwenye albamu inayowania Best Latin Pop Album.

Kila la heri kwa Vanny na Zombie…..

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *