Rapa Wakazi ameachia Tracklist ya album yake mpya BEBERU (Declaration) ambayo itatoka Septemba mwaka huu.
Album hii ina ngoma 13 ambapo amemshirikisha marehemu Godzilla kwenye wimbo wa Kabila Letu akiwemo pamoja na Mwasiti na Atan kwenye ngoma hiyo.
Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz